Kituo cha Wenye Ulemavu Olkokola

Change to English

Huduma na mafunzo kwa wenye ulemavu wa viungo

Kituo chetu kule Arusha Tanzania kinafanya kazi kuboresha maisha ya watu wanaoishi na walemavu kwa kuwawezesha kupata maisha yenye tija na yenye kujiridhisha, na kwa kuonyesha dhamana ya watu wenye ulemavu kwa jamii yao.

Tunasaidia watu wenye ulemavu wa viungo na kuwapa elimu ya afya na mafunzo jinsi ya kupata pesa kupitia mafundisho wanayo pata hapa kituoni.

Kituo hiki hapo awali kilijulikana kama Chuo cha Ufundi Olkokola na kinamilikiwa na Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Arusha na kuendeshwa na Shirika la Roho Mtakatifu.

Design a site like this with WordPress.com
Get started